ENOCK BELLA:SIWEZI KUMUONEA WIVU ASLAY/ALINILIZA SANA/NATAMANI ANAVYOFANYIWA MBOSSO/NYUMBA ZA YAMOTO

148,953
0
Published 2020-11-29
Tumepiga story na mmoja ya wasanii waliikuwa wanaunda kundi la Yamoto Band Enock Bella amefunguka Mengi.

All Comments (21)
  • Enok anajua kujibu maswali yupo very clear 🔥🔥🙏🙏🙏
  • @patkentz
    Daah big up sana Enock ume tulia kima wazo kiakili uko vizuli majibu ya maswali yana kitu cha ziada hakika nime jifunza
  • @jymvumbi4804
    Dah, dogo yupo vizuri amekomaa kimawazo coz ametumia busara mno ktka kujibu maswali Mungu Akuzidishie kheir
  • Muzul we mwanaume nakukubali Sana IPO siku Allah atakusaidia utafika mbali zaidi ishalla nakusapoti Sana mishabiki wako 💖💖
  • Napenda muziki wako enock pambana kaka mengi yataongewa lakini mungu yuko kaka
  • @niceboy255obby2
    Wewe enock bela nimekukubali yaani kwamajibu yako tu nizaidi ya kufika high school pongezi sana
  • Nakubali Bella umekomaa akili na inshallah Mungu akufanikishe kwa kila juhudi zako za kimaisha
  • @naimanimo4925
    Wow his smart upstairs the future is bright for you big up 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
  • @abwenasibu9192
    Una jibu fresh sana mwamba🧏🏾‍♂️ Una jibu clear...
  • @sadaalphonce319
    Sada Alphonce.Enock hongera Sana upovizuri kujibu maswali yako umenifurahisha Sana mungu akujalie uzidi Kusonga mbele Saudi🙏🙏