Enock Bella - Nitazoea (Official Video) SMS SKIZA 7913937 to 811

685,357
0
Published 2017-12-28

All Comments (21)
  • @ckukuu8404
    Never give up pole pole utafika tu Bella wenzangu wa Kenya Mombasa diani wapi like zake
  • @ismailmsuya5129
    Sidhani kama aslay atamfikia huyu dogo ngoma za kiutu uzima safi sana πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
  • @beforeim2514
    Shabik wa enok marki register hapa kwa ku like πŸ’―πŸ’―πŸ’―
  • @ivanminja6842
    Nilivyoona nyimbo yako nilikuwa bussy na kazi nikaamua kusimamisha kila kitu na kukaa chini na kusikiliza mashairi yako, nyimbo imesimama sana, nilikuwaga najiuliza utatokaje, sasa umeweza kutoka, simama sasa Kama Koffi Olomide sauti yako. Simama Imba imba imbaa weka pumzi imbaa fanya nyimbo za kusikiliza za huzuni na pia zouk naamini utakuja juu sana, sauti yako ni ya kuwateka watu wa umri wa juu kama mimi miaka 38 kwenda juu huko. Big up mdogo wangu. Nimefurahi sana watu waliongea sana ila upo juu. Nategemea mengi sana kutoka kwako.
  • @charitekato6283
    Jikaze kaka pole pole utafika marafika duniani huacha njiani oooh yamoto band imeshaa isha kila kitu kina mwisho duniani
  • @alexhuggins8229
    Nakukubali mwanang bella ila nyimbo hii umezingua kiukwel ni mbay siwez hat kuirudia #Kama unakubaliana nami gonga likeπŸ‘
  • @besumitv8674
    Nilijua kuondoka kwa wenzako ungeyumba kumbe ndiyo umezidi kuwa bora. Hii inamaana kubwa katika maisha kwamba..usitegemee cha ndugu utakufa masikini simama na yako.
  • kali kinoma..mambo haya tunayapitia sote..team wiffi mpo??πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
  • @Maishacanada
    Haujawahi kuniangusha my brother mungu akusimamie ⚑⚑⚑
  • @giftwandi178
    Brother Uko vizuri, nimejaribu kufuatilia ngoma zako Una ki2 cha tofauti Keep moving Fanya kunipa ma-likes Kama yote vileee
  • another one! Enock Bela usimind wenye wako wcb,sahisi tunakuangalia wewe...Aslay tushachoka na yeye,mmebaki Beka na wewe,,achana na wenye wako WCB waendelee kufanya mapenzi badala kutoa ngoma...may God bless you! from +254
  • Mmbo pratha !!! Ni mmisomi boy.Nigependa kukusumbua kitoko mwanzo kuomba korapo mm nimsani jubukisi kutoka Kenya msiki yako imenibambo sana toka kitambo.naombo unirutishie jipu natumai sichakukosea?!
  • @dadileonard2392
    jamaa anawezA kweli alikuwa anawavutia pumzi tu excellent Enock BelA